Swali: Je, kuwapaka mafuta makafiri, kuitikia matendo yao na mambo yao, na kutaja aibu za waislamu mbele yao ni katika kuwafanya marafiki na ni katika kuwapenda?

Jibu: Ndio. Ndani ya hili kuna kitu kama kuwasifia makafiri na kuwaponda waislamu. Hili ni jambo lisilojuzu. Hili dogo tuwezalo kusema ni kwamba ni dhambi na ni maasi, hata kama uinje wake linaonekana kuwa ni kufuru.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/7618_0.mp3
  • Imechapishwa: 29/01/2024