Swali: Baadhi ya watu wanapotaka kulala wanawasha Qur-aan. Je, kitendo hichi kimewekwa katika Shari´ah?
Jibu: Hakuna neno. Qur-aan ni bora kuliko kitu kingine. Je, waweke muziki? Waweke Qur-aan, ni vizuri.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/node/16495
- Imechapishwa: 23/07/2017
Swali: Baadhi ya watu wanapotaka kulala wanawasha Qur-aan. Je, kitendo hichi kimewekwa katika Shari´ah?
Jibu: Hakuna neno. Qur-aan ni bora kuliko kitu kingine. Je, waweke muziki? Waweke Qur-aan, ni vizuri.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/node/16495
Imechapishwa: 23/07/2017
https://firqatunnajia.com/kuwasha-qur-aan-wakati-wa-kulala/