Mkopo wa ribaa kwa ajili ya kununua nyumba

Swali: Inajuzu kwangu kuchukua mkopo wa ribaa ili ninunue nyumba ikiwa siwezi kukopa pesa kwa njia iliyowekwa katika Shari´ah?

Jibu: Hapana. Kodisha. Kodisha mpaka pale utapokuwa na uwezo wa kununua nyumba. Nyumba za kupanga zinatatua matatizo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/node/16495
  • Imechapishwa: 23/07/2017