Swali: Ni ipi hukumu ya kuwapa zakaah ndugu kama vile wajukuu na wazazi?

Jibu: Haijuzu. Haijuzu kuwapa zakaah wajukuu na wazazi wala kinyume chake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (91) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-22-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 10/08/2018