Swali: Je, inajuzu kutumia mali ya zakaah katika kununua blanketi na kuwatumia wapiganaji jihaad?
Jibu: Hakuna ubaya. Lililo sahihi hakuna tatizo ikiwa atafanya zakaah kuwa ni mavazi kwa mafukara na nafaka kwa mafukara, ikiwa mafukara hawawezi kutumia fedha katika yale yanayofaa, kama watoto wadogo, wapumbavu au wasiojiweza. Ikiwa atafanya zakaah kuwa ni chakula kwao au mavazi kwao, basi lililo sahihi ni kwamba hakuna ubaya.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3389/صرف-مال-الزكاة-للمجاهدين
- Imechapishwa: 21/08/2026
Swali: Je, inajuzu kutumia mali ya zakaah katika kununua blanketi na kuwatumia wapiganaji jihaad?
Jibu: Hakuna ubaya. Lililo sahihi hakuna tatizo ikiwa atafanya zakaah kuwa ni mavazi kwa mafukara na nafaka kwa mafukara, ikiwa mafukara hawawezi kutumia fedha katika yale yanayofaa, kama watoto wadogo, wapumbavu au wasiojiweza. Ikiwa atafanya zakaah kuwa ni chakula kwao au mavazi kwao, basi lililo sahihi ni kwamba hakuna ubaya.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3389/صرف-مال-الزكاة-للمجاهدين
Imechapishwa: 21/08/2026
https://firqatunnajia.com/kuwanunulia-wafukara-blanketi-na-shuka-kwa-pesa-ya-zakaah/