Swali: Ni ipi hukumu ya kile kinachofanyika katika baadhi ya michezo ambapo baada ya kumalizika kwa mchezo hugawiwa magari kwa watazamaji kulingana na namba za tiketi za kuingia ili mmoja wa waliohudhuria ashinde, je, hili ni katika kamari?
Jibu: Ndiyo, tumekwishawaonya wenye mamlaka kuwa hili ni katika kamari. Kutaandikwa kuhusu hilo – Allaah akitaka. Hili ni katika kamari. Wanatoa tiketi nyingi zenye namba nyingi, kisha wanachunguza namba, kisha huyu anapewa kwa namba yake na huyu kwa namba yake, hili ni kosa. Hili ni katika ribaa na pia ni katika kamari inayojulikana.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3394/حكم-توزيع-جواىز-لجمهور-المباريات-عن-طريق-سحب-ارقام-التذاكر
- Imechapishwa: 21/08/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kile kinachofanyika katika baadhi ya michezo ambapo baada ya kumalizika kwa mchezo hugawiwa magari kwa watazamaji kulingana na namba za tiketi za kuingia ili mmoja wa waliohudhuria ashinde, je, hili ni katika kamari?
Jibu: Ndiyo, tumekwishawaonya wenye mamlaka kuwa hili ni katika kamari. Kutaandikwa kuhusu hilo – Allaah akitaka. Hili ni katika kamari. Wanatoa tiketi nyingi zenye namba nyingi, kisha wanachunguza namba, kisha huyu anapewa kwa namba yake na huyu kwa namba yake, hili ni kosa. Hili ni katika ribaa na pia ni katika kamari inayojulikana.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/3394/حكم-توزيع-جواىز-لجمهور-المباريات-عن-طريق-سحب-ارقام-التذاكر
Imechapishwa: 21/08/2026
https://firqatunnajia.com/dau-kwa-mmoja-wa-washindi-wa-mpira/