Swali: Katika mji wetu Taswawwuf ni nyingi na ´ibaadah ya makaburi vilevile ni nyingi. Wazazi wangu na ndugu zangu wanachinja kwa ajili ya asiyekuwa Allaah pamoja na kujua ya kwamba hakuna yeyote ambaye ameshawabainishia hilo na kuwapa nasaha…
Jibu: Ni kama alivyoashiria muulizaji karibuni[1]. Lililo la wajibu kwenu nyinyi mtapoenda katika miji yenu na ndugu zenu, mlinganie katika dini ya Allaah na muwabainishie kwa hekima, maneno mazuri na kuzungumza nao kwa njia iliokuwa nzuri. Huenda kwa kufanya hivo Allaah akawaongoza.
[1] Tazama https://firqatunnajia.com/umuhimu-wa-walinganizi-kuwa-na-mafungamano-na-serikali/
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-2-10.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)