Swali: Je, inafaa kwangu kukaa peke yangu na kuzungumza hali ya kuamrisha mema na kukemea maovu ili majini yaliyoko karibu nami yapate kunisikia?

Jibu: Wanasihi na wakemee watu. Kuhusu majini wako na waumini wa kijini ambao wanawatosheleza – Allaah akitaka. Waachie kazi hiyo majini.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ta´liyqaat ´alaa Risaalah wujuub-il-´Amr bil-Ma´ruuf wan-Nahiy ´an al-Munkar (02)
  • Imechapishwa: 02/02/2024