Kuwakilisha myahudi au mnaswara asimamie Udhhiyah

Swali: Je, inajuzu Udhhiyah ikasimamia myahudi au mnaswara?

Jibu: Inajuzu kwa kuwa Allaah Ametuhalalishia vichinjwa vya Ahl-ul-Kitaab. Miongoni mwa watu wa kuchinja mmoja wao awe ni Ahl-ul-Kitaab. Akimuwakilisha na akakuchinjia hakuna neno. Lakini bora zaidi ujichinjie wewe mwenyewe kwa mkono wako au uwakilishe Muislamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-5-11.mp3
  • Imechapishwa: 14/11/2014