Swali: Vinyozi wa ndevu wamekuwa wengi. Je, mtu amkemee kila mwenye kunyoa ndevu au kila mmoja inategemea na hali yake?
Jibu: Hukusikia Hadiyth inayosema:
“Yule katika nyinyi atakayeona maovu, basi ayakemee kwa mkono wake. Asipoweza, afanye hivo kwa ulimi wake. Asipoweza, basi afanye hivo kwa moyo wake – na hiyo ni imani dhaifu kabisa.”?
Kila mmoja kutegemea na uwezo wake. Kiongozi ana jukumu lake, mwanachuoni ana jukumu lake, baba mwenye nyumba ana jukumu lake na majirani kati yao wana majukumu yao. Kila mmoja kutegemea uwezo wake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21983/كيف-يكون-الانكار-في-حال-تفشي-المنكر
- Imechapishwa: 09/10/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)