Swali: Kuna mtu jina lake ni Na´iym (Pepo) na ameruzukiwa msichana na anataka kumpa jina la Jannaat…

al-Fawzaan: Mashaa Allaah! Mashaa Allaah!

Swali: Je, hilo linajuzu?

Jibu: Wote wanaitwa Pepo, yeye na wasichana zake! Achague jina katika majina yasiyokuwa haya. Aache makalifisho haya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14221
  • Imechapishwa: 17/11/2014