Swali: Hadiyth ipi ina mnasaba upi na ni ipi maana yake. Nayo ni maneno ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Hakuna anayemchukia ´Aliy isipokuwa mnafiki tu”?
Jibu: Hakuna anayewachukia Maswahabah isipokuwa ni mnafiki. Inahusiana na Maswahabah wote. Hakuna anayewachukia isipokuwa mnafiki tu. Muumini tu ndiye anawapenda.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_13.mp3
- Imechapishwa: 18/06/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket