Swali: Imepokelewa katika baadhi ya Hadiyth ya kwamba amekataza (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuvaa kitu cha chuma kwa sababu ni pambo la watu wa Motoni.

Jibu: Hapana, Hadiyth hii imejulisha kufaa kuvaa chuma. Upanga ni chuma na [waarabu] huuvaa na vyenginevyo. Hadiyth zinazokataza kuvaa kitu cha chuma ni dhaifu. Haijalishi kitu ingawa baadhi ya watu wameisahihisha lakini hata hivyo ni dhaifu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawa-ud-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/6358/%D9%85%D8%A7-%D8%AD%D9%83%D9%85-%D9%84%D8%A8%D8%B3-%D8%A7%D9%84%D8%AD%D9%84%D9%8A%D8%A9-%D9%85%D9%86-%D8%A7%D9%84%D8%AD%D8%AF%D9%8A%D8%AF
  • Imechapishwa: 20/12/2020