Swali: Kuna mtu anayo ardhi anataka kuuza 100.000, lakini aliomba mkopo serikalini kwa hiyo serikali ikampa nafasi ya kukopa juu ya ardhi hii?

Jibu: Ikiwa serikali wameiweka rehani basi asiiuze. Ikiwa serikali imeiweka rehani, imempa mkopo na kuweka ardhi rehani, basi asiiuze isipokuwa kwa idhini ya serikali.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24445/ما-حكم-بيع-الرهن
  • Imechapishwa: 12/10/2024