Kutumia hoja makadirio baada ya tawbah

Swali: Vipi kuhusu kujengea hoja kwa makadirio kabla ya kutubu kutokana na maasi?

Jibu: Kabla ya tawbah haijuzu. Haijuzu kwa mtu yeyote kujengea hoja kwa makadirio.

Swali: Vipi ikiwa ni baada ya tawbah?

Jibu: Baada ya tawbah hapana shida, kama alivyofanya Aadam.

Swali: Inasihi kujengea hoja kwa majanga na si kwa maasi?

Jibu: Ndio, na pia miongoni mwa jibu ni kwamba alimlaumu juu ya msiba.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31073/حكم-الاحتجاج-بالقدر-قبل-التوبة-من-المعصية
  • Imechapishwa: 02/10/2025