Swali: Nilikuwa nikihudhuria darsa za wanachuoni na kusoma vitabu vya Kiislamu. Halafu nikapewa mtihani wa Twitter na uchambuzi wa kisiasa. Ninajua fika ya kwamba hili ni katika njama za Shaytwaan, vipi nitaachana na hilo na kushinda matamanio yangu?
Jibu: Suluhu ni nyepesi, rudi katika matendo uliyokuwemo mwanzoni na uachane na Twitter. Muombe Allaah Akulinde na kila kilicho na madhara kwako. Mtake Allaah msaada na wala usikate tamaa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (30) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2025-12-1435.mp3
- Imechapishwa: 16/06/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)