Swali: Je, ladha ya imani inatofuatiana kwa njia ya kwamba kuna ambao wana ladha yenye nguvu moyoni na wengine ladha dhaifu moyoni?

Jibu: Ndio, ni kitu kinachowezekana. Ladha inaweza kuwa na nguvu kama jinsi vilevile inaweza kuwa kinyume na hivyo. Watu wanatofautiana. Pengine mtu asihisi ladha kabisa. Kuna watu ambao hawahisi ladha yoyote kabisa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (37) http://alfawzan.af.org.sa/node/2148
  • Imechapishwa: 13/07/2020