Swali: Je, ladha ya imani inatofuatiana kwa njia ya kwamba kuna ambao wana ladha yenye nguvu moyoni na wengine ladha dhaifu moyoni?
Jibu: Ndio, ni kitu kinachowezekana. Ladha inaweza kuwa na nguvu kama jinsi vilevile inaweza kuwa kinyume na hivyo. Watu wanatofautiana. Pengine mtu asihisi ladha kabisa. Kuna watu ambao hawahisi ladha yoyote kabisa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (37) http://alfawzan.af.org.sa/node/2148
- Imechapishwa: 13/07/2020
Swali: Je, ladha ya imani inatofuatiana kwa njia ya kwamba kuna ambao wana ladha yenye nguvu moyoni na wengine ladha dhaifu moyoni?
Jibu: Ndio, ni kitu kinachowezekana. Ladha inaweza kuwa na nguvu kama jinsi vilevile inaweza kuwa kinyume na hivyo. Watu wanatofautiana. Pengine mtu asihisi ladha kabisa. Kuna watu ambao hawahisi ladha yoyote kabisa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (37) http://alfawzan.af.org.sa/node/2148
Imechapishwa: 13/07/2020
https://firqatunnajia.com/kutofautiana-utamu-wa-imani-kwa-watu/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket