Kutoa zakaah kabla ya kutimia wakati wake

Swali 326: Ni ipi hukumu ya kuharakisha kutoa zakaah kabla ya wakati wake?

Jibu: Inafaa kufanya hivo kwa miaka miwili kabla. Ikiwa inafaa kwa miaka miwili kabla basi inafaa kufanya hivo kwa muda kabla zaidi ya hivo. Na ikiwa aliharakisha kisha akawa fakiri, basi itahesabiwa kuwa ni swadaqah. Na ikiwa mali yake iliongezeka, basi atatoa zakaah ya ziada hiyo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 117
  • Imechapishwa: 29/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´