Swali: Je, inajuzu kutoa mimba ikiwa kipomoko hakijafikisha siku arubaini?
Jibu: Haijuzu kuiporomosha. Ni kwa nini iporomoshwe? Haijuzu kutoa mimba. Isipokuwa tu ikiwa kama madaktari watathibitisha kuwa kunakhofiwa mtoto kumtia mama yake khatarini ikiwa kama atabaki. Katika hali hii inajuzu kutoa mimba.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20maji%20d%20-%2011%20-%201%20-%201436.mp3
- Imechapishwa: 11/02/2017
Swali: Je, inajuzu kutoa mimba ikiwa kipomoko hakijafikisha siku arubaini?
Jibu: Haijuzu kuiporomosha. Ni kwa nini iporomoshwe? Haijuzu kutoa mimba. Isipokuwa tu ikiwa kama madaktari watathibitisha kuwa kunakhofiwa mtoto kumtia mama yake khatarini ikiwa kama atabaki. Katika hali hii inajuzu kutoa mimba.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20maji%20d%20-%2011%20-%201%20-%201436.mp3
Imechapishwa: 11/02/2017
https://firqatunnajia.com/kutoa-mimba-kabla-haijatimiza-siku-40/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)