Swali: Dada huyu anauliza anasema. Mume wangu haswali kamwe [baki ya swali haliko wazi]…
Jibu: Ikiwa haswali kamwe, si msikitini wala nyumbani, basi ni lazima kwako kuomba kutengana naye. Nenda mahakamani na uombe kutengana naye.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13267
- Imechapishwa: 20/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)