Kutembea mchakamchaka Swafaa na Marwah kwa ambaye ameandamana na mwanamke

Swali: Kuhusu Sa´y katika Twawaaf kukimbia kwa hatua za haraka katika mizunguko mitatu, na kuhusu Sa´y kati ya Swafaa na Marwah, ikiwa mtu anaandamana na mwanamke hahitajii kufanya hivo?

Jibu: Atembee naye. Ikiwa kuna haja ya kutembea naye, basi atembee naye. Na ikiwa mwanamke yuko vizuri na anaweza kukamilisha Twawaaf yake mwenyewe, basi yeye mwenyewe anaweza kutembea haraka.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24981/حكم-الرمل-والهرولة-لمن-معه-نساء
  • Imechapishwa: 20/01/2025