Swali: Je, ni Sunnah kutazama juu mbinguni wakati wa kusikia adhaana?

Jibu: Hapana. Hakuna dalili ya hilo. Halikuthibiti.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
  • Imechapishwa: 01/01/2017