Swali: Mwenye kusema:
”Mwenye kufatafata nyudhuru huishilia kuwa zindiki.”
Jibu: Ni maneno ya baadhi ya Salaf. Wanakusudia nyudhuru zinazoenda kinyume na Shari´ah. Haijalishi kitu hata kama hatozifata. Haifai kwake kuleta nyuduru zinazokwenda kinyume na Shari´ah. Lakini akienda mbali zaidi na kuzifata jambo linakuwa baya na baya zaidi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21954/ما-معنى-القول-من-تتبع-الرخص-تزندق
- Imechapishwa: 14/01/2023