Swali: Vipi kuoanisha kati ya Hadiyth inayosema kuwa swalah ya usiku ni Rak´ah mbilimbili na Hadiyth inayosema kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakupatapo kuzidisha Rak´ah kumi na moja, si katika Ramadhaan wala wakati mwingine wowote?

Jibu: Haya ni maneno ya ´Aaishah kwa mujibu wa ijtihaad yake… ni katika maneno ya ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa). Miongoni mwa swalah zake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni kwamba aliswali Rak´ah kumi na tatu… Kuna uwezekano alisahau.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23964/حكم-زيادة-صلاة-الليل-على-احدى-عشرة-ركعة
  • Imechapishwa: 08/08/2024