Swali: Kuosha tupu baada ya jimaa ni kwa njia ya usafi au najisi?

Jibu: Ni kwa ajili ya kusafisha kile kilichotoka na manii yanayotoka baada ya jimaa.

Swali: Hakutokwa na kitu?

Jibu: Haijalishi kitu, kwa sababu ni lazima apatwe na unyevu wa mkojo wakati wa kuingiza kwake dhakari ndani ya uke.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23968/هل-يجب-غسل-الفرج-بعد-الجماع
  • Imechapishwa: 08/08/2024