Kuswali swalah nyingi za Sunnah kwa nia moja

Swali: 216: Ni ipi hukumu ya kuchanganya nia katika ´ibaadah moja, kama anayeswali Dhuhaa na wakati huohuo akaingia msikitini na hivyo akainuia swalah ya mamkizi ya msikiti, Dhuhaa na swalah ya Istikhaarah?

Jibu: Sijui lolote kuhusiana na hilo. Hata hivyo fadhilah za Allaah ni pana zaidi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 90
  • Imechapishwa: 01/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´