Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali nyuma ya imamu anayevaa nguo chini ya fundo za miguu pamoja na kwamba amenasihiwa lakini hakupokea nasaha?

Jibu: Swalah ni sahihi, lakini anapata dhambi kwa kuvaa nguo chini ya fundo za miguu. Ikiwa kuna imamu mwingine kwenye Msikiti mwingine swali nyuma yake na achana na huyu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/nawaqid-19-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/04/2015