Swali: Ni ipi hukumu ya manii yaliyoingia kwenye nguo? Ni masafi au najisi?
Jibu: Maoni ni masafi kwa mujibu wa maoni sahihi zaidi ya wanachuoni. Yakiingia nguoni na ukaswali nayo swalah ni sahihi. Lakini bora ayakwangure yakiwa ni makavumakavu na ayaoshe yakiwa na unyevuunyevu. Hili ndio bora zaidi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa salam) alikuwa akiyaosha na ´Aaishah alikuwa akiyakwangura kutoka katika nguo yake yakiwa ni makavumakavu.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaad-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/4074/%D9%85%D8%A7-%D8%AD%D9%83%D9%85-%D9%85%D8%A7-%D9%8A%D8%B5%D9%8A%D8%A8-%D8%A7%D9%84%D8%AB%D9%8A%D8%A7%D8%A8-%D9%85%D9%86-%D8%A7%D9%84%D9%85%D9%86%D9%8A
- Imechapishwa: 19/05/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya manii yaliyoingia kwenye nguo? Ni masafi au najisi?
Jibu: Maoni ni masafi kwa mujibu wa maoni sahihi zaidi ya wanachuoni. Yakiingia nguoni na ukaswali nayo swalah ni sahihi. Lakini bora ayakwangure yakiwa ni makavumakavu na ayaoshe yakiwa na unyevuunyevu. Hili ndio bora zaidi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa salam) alikuwa akiyaosha na ´Aaishah alikuwa akiyakwangura kutoka katika nguo yake yakiwa ni makavumakavu.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaad-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/4074/%D9%85%D8%A7-%D8%AD%D9%83%D9%85-%D9%85%D8%A7-%D9%8A%D8%B5%D9%8A%D8%A8-%D8%A7%D9%84%D8%AB%D9%8A%D8%A7%D8%A8-%D9%85%D9%86-%D8%A7%D9%84%D9%85%D9%86%D9%8A
Imechapishwa: 19/05/2020
https://firqatunnajia.com/kuswali-na-nguo-ya-manii/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)