Swali: Nilipangusa juu ya soksi na nikaswali. Baada ya kuswali nikakumbuka kuwa umemalizika muda wa kufuta juu yake. Je, niirudi swalah yangu?

Jibu: Ndio. Swalah iliyoswaliwa baada ya muda kumalizika inarudiliwa. Ni kama mfano wa swalah unayoswali kwa kusahau ilihali uko na hadathi. Swalah kama hii unatakiwa kuirudi.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaad-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/4072/%D8%AD%D9%83%D9%85-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%B3%D8%AD-%D8%B9%D9%84%D9%89-%D8%A7%D9%84%D8%AE%D9%81%D9%8A%D9%86-%D8%A8%D8%B9%D8%AF-%D8%A7%D9%86%D8%AA%D9%87%D8%A7%D8%A1-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AF%D8%A9-%D9%86%D8%A7%D8%B3%D9%8A%D8%A7
  • Imechapishwa: 19/05/2020