Kuswali kwenye kanisa lililo na misalaba na nembo

Swali: Inafaa kwa muislamu kuswali ndani ya kanisa ambayo ndani yake kuna misalaba na picha zinazodaiwa kuwa eti ni al-Masiyh (´alayhis-Salaam)?

Jibu: Ndio. Lakini asizielekee hizo picha. Hakuna neno akaswali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (98) https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18006
  • Imechapishwa: 19/05/2019