Swali: Ni lipi bora zaidi; kuswali swalah ya sunnah ya Fajr nyumbani pamoja na kuchelewa au kuiswali msikiti pamoja na kuwahi mapema?
Jibu: Hili linahitaji kuangaliwa na kulifikiria vizuri. Akienda kuchelewa kwa ajili ya kuswali nyumbani hakuna neno. Akitangulia mapema na akaiswali msikitini basi itamtosheleza na kutohitajia kuswali swalah ya mamkuzi ya msikiti.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (10) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191426#219753
- Imechapishwa: 19/05/2019
Swali: Ni lipi bora zaidi; kuswali swalah ya sunnah ya Fajr nyumbani pamoja na kuchelewa au kuiswali msikiti pamoja na kuwahi mapema?
Jibu: Hili linahitaji kuangaliwa na kulifikiria vizuri. Akienda kuchelewa kwa ajili ya kuswali nyumbani hakuna neno. Akitangulia mapema na akaiswali msikitini basi itamtosheleza na kutohitajia kuswali swalah ya mamkuzi ya msikiti.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (10) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191426#219753
Imechapishwa: 19/05/2019
https://firqatunnajia.com/sunnah-ya-fajr-nyumbani-au-msikitini/