Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali juu ya paa ya bafu za kuogea?
Jibu: Hapana vibaya kuswali juu ya paa za bafu zetu za kuogea za sasa. Kwa sababu bafu zetu za kuogea hazijashikanishwa na jengo maalum. Paa yake inakuwa ya jengo zima. Isitoshe kuswali hapana vibaya kuswali juu ya paa la sehemu inayokusanya najisi, kwa sababu ya kuingia ndani ya jumla ya maneno yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa salam):
“Ardhi nzima imefanywa kwangu mimi na ummah wangu kuwa ni mahali pa kuswalia na yenye kusafisha.”[1]
[1] al-Bukhaariy na Muslim.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/379)
- Imechapishwa: 02/05/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali juu ya paa ya bafu za kuogea?
Jibu: Hapana vibaya kuswali juu ya paa za bafu zetu za kuogea za sasa. Kwa sababu bafu zetu za kuogea hazijashikanishwa na jengo maalum. Paa yake inakuwa ya jengo zima. Isitoshe kuswali hapana vibaya kuswali juu ya paa la sehemu inayokusanya najisi, kwa sababu ya kuingia ndani ya jumla ya maneno yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa salam):
“Ardhi nzima imefanywa kwangu mimi na ummah wangu kuwa ni mahali pa kuswalia na yenye kusafisha.”[1]
[1] al-Bukhaariy na Muslim.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/379)
Imechapishwa: 02/05/2026
https://firqatunnajia.com/kuswali-juu-ya-choo-na-bafu-za-kuogea/