Kuswali baada ya kunywa kinywaji cha kuleta uchangamfu (energy drink)

Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali na kufanya ´ibaadah nyenginezo baada ya kutumia baadhi ya vitu vyenye kuleta uchangamfu na kuondosha uchovu na uvivu?

Ibn ´Uthaymiyn: Je, tembe hizi zinaondosha akili?

Muulizaji: Hapana. Zinamfanya mtu kuwa na uchangamfu tu.

Ibn ´Uthaymiyn: Kizuizi kiko wapi? Haina neno na wala haina tatizo.

Check Also

Badala ya nyama kula samaki na mbogamboga!

Swali: Ni ipi hukumu ya kula nyama zinazoletwa kutoka nje kwa sababu baadhi ya watu …