Ndugu kwa jina la Israaiyl

Swali: Kuna ndugu ambaye anaitwa Israaiyl. Je, kuna neno upande wa dini?

Jibu: Hapana, hakuna neno.

Check Also

Ibn ´Uthaymiyn kuhusu kumpa mtoto jina la “Iymaan”

Swali: Ni ipi hukumu ya kumpa msichana wake jina la “Iymaan”? Jibu: Haijuzu. Kwa kuwa ni …