Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma Qur-aan ndani ya nyumba ambayo kuna mbwa?
Jibu: Hakuna neno kufanya hivo. Ni lazima mbwa atolewe nje na kutombakiza nyumbani. Isipokuwa ikiwa ni kutokana na sababu tatu:
1 – Mbwa wa mawindo.
2 – Mbwa kwa ajili ya kilimo.
3 – Mbwa ajili ya kukuelekeza njia.
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mwenye anayemiliki mbwa – isipokuwa mbwa wa uwindaji, kuelekeza njia au kilimo – basi kila siku inapungua kutoka katika ujira wake Qiraatw mbili.”
Ameipokea al-Bukhaariy na Muslim.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (08/362)
- Imechapishwa: 25/06/2021
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Je, mbwa wanaoruhusiwa katika Shari´ah wanawazuia Malaika kuingia ndani ya nyumba?
Swali: Je, Malaika kujizuia kuingia nyumba yenye mbwa kunajumuisha mbwa wa mawindo? Jibu: Hapana, hakujumuishi. Makusudio ni yule mbwa ambaye hakuidhinishwa, kama ilivyotangulia katika somo lililotangulia. Mbwa na picha zilizoidhinishwa hazizuilii. Picha zenye kudhalilishwa hazizuii kuingia kwa Malaika. Ndio maana Jibriyl alimwambia: “Ifanye mito miwili.”[1] Hapo ndipo Jibriyl aliingia ndani…
In "Kuamini Malaika"
al-Fawzaan kuhusu mbwa wa kipofu
Swali: Uingereza tuna mbwa zilizofunzwa zinazowaongoza na kuwasaidia watu vipofu. Nina msichana kipofu aliye na miaka kumi na mbili. Hana mtu mwingine anayeweza kumsaidia siku zote na wakati huo huo ana haja kubwa ya kutoka kwa ajili ya mambo yake mbalimbali ya maisha yake. Inafaa kuwa na mbwa nyumbani kwa…
In "Mawindo"
Mbwa wa kulinda nyumba
Swali: Ni ipi hukumu ya kumiliki mbwa kwa ajili ya kulinda nyumba? Jibu: Hapana, hairuhusiwi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakuruhusu isipokuwa kwa ajili ya mambo matatu: 1 – Uwindaji. 2 – Kulinda mifugo. 3 – Kulida mazao.
In "Mawindo"