Swali: Nikisimama kisimamo cha usiku mwenyewe inajuzu kwangu kushika msahafu na kusoma kutoka kwenye msahafu?
Jibu: Hakuna neno kufanya hivyo. Ikiwa hukuhifadhi kisomo, hakuna neno ukafanya hivyo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/files/ls–jeddah-1430-8-17.mp3
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Nikisimama kisimamo cha usiku mwenyewe inajuzu kwangu kushika msahafu na kusoma kutoka kwenye msahafu?
Jibu: Hakuna neno kufanya hivyo. Ikiwa hukuhifadhi kisomo, hakuna neno ukafanya hivyo.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/files/ls–jeddah-1430-8-17.mp3
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/kusoma-ndani-ya-msahafu-katika-swalah-za-usiku/