Kusoma ndani ya maji na kummwagia nayo mgonjwa

Swali: Je, kumepokelewa kitu juu ya kuyasomea maji?

Jibu: Imepokelewa kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliyasomea maji kwa ajili ya Thaabit bin Qays na akayamwaga juu yake. Ameipokea Abu Daawuud kwa cheni ya wapokezi Swahiyh.

Swali: Je, ni bora kusoma ndani ya maji?

Jibu: Asome ndani ya maji, ammwagie nayo au kumrashia nayo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24525/هل-صح-شيء-في-الماء-الذي-يقرا-فيه
  • Imechapishwa: 31/10/2024