Swali: Anaposwali mtu swalah ya ´ishaa peke yake asome kwa sauti yake katika kisomo chake na aitikie “Aamiyn” peke yake?
Jibu: Ndio, ni Sunnah kufanya hivyo, sawa ikiwa anasali peke yake au anaswali pamoja na mkusanyiko. Asome kwa sauti katika swalah za kusoma kwa sauti kama mfano wa swalah ya fajr, ´ishaa na maghrib na aitikie “Aamiyn” kwa sauti. Na akisoma kwa sauti ya chini swalah yake inasihi. Lakini Sunnah ni kusoma kwa sauti.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://shrajhi.com.sa/fatawa/96/%D8%AC%D9%87%D8%B1-%D8%A7%D9%84%D9%85%D9%86%D9%81%D8%B1%D8%AF-%D8%A8%D8%B5%D9%84%D8%A7%D8%AA%D9%87
- Imechapishwa: 07/06/2020
Swali: Anaposwali mtu swalah ya ´ishaa peke yake asome kwa sauti yake katika kisomo chake na aitikie “Aamiyn” peke yake?
Jibu: Ndio, ni Sunnah kufanya hivyo, sawa ikiwa anasali peke yake au anaswali pamoja na mkusanyiko. Asome kwa sauti katika swalah za kusoma kwa sauti kama mfano wa swalah ya fajr, ´ishaa na maghrib na aitikie “Aamiyn” kwa sauti. Na akisoma kwa sauti ya chini swalah yake inasihi. Lakini Sunnah ni kusoma kwa sauti.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://shrajhi.com.sa/fatawa/96/%D8%AC%D9%87%D8%B1-%D8%A7%D9%84%D9%85%D9%86%D9%81%D8%B1%D8%AF-%D8%A8%D8%B5%D9%84%D8%A7%D8%AA%D9%87
Imechapishwa: 07/06/2020
https://firqatunnajia.com/kusoma-kwa-sauti-na-kuitikia-aamiyn-kwa-anayeswali-peke-yake/