Kusoma kwa ambaye hamfanyii Tabdiy´ al-Jahm bin Swafwaan

Swali: Je, inafaa kuchukua elimu kwa mtu ambaye hamfanyii Tabdiy´ al-Jahm bin Swafwaan[1]?

Jibu: Hapana. Mtu asichukue kutoka kwake elimu. Ambaye hamfanyii Tabdiy´ maana yake ni kwamba anakubaliana na ´Aqiydah yake. Haijuzu kufanya hivo. Huyu ni mzushi.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/al-jaabiriy-kuhusu-ar-ruhayliy/

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (50) https://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid-03-01-1438.mp3 Tarehe: 1438-01-03/2016-10-04
  • Imechapishwa: 13/11/2022