Swali: Mtu anazingatiwa kuwa anatafuta elimu kwa kusikiliza kanda za wanachuoni ambao wanafafanua vitabu…
Jibu: Hapana, hapana. Huku sio kutafuta elimu. Kusoma haiwi kupitia kanda, inakuwa kupitia wanachuoni. Mtu anatakiwa kukaa mbele yao, kuwauliza, kujadiliana nao, kuchukua elimu kutoka kwao. Elimu haichukuliwi kutoka katika kanda na vitabu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (35)
- Imechapishwa: 12/02/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket