Kusoma al-Faatihah kwa ajili ya kusahau

Swali: Baadhi ya watu wanaposahau kitu au wanapotaka kitu wanasoma Suurah “al-Faatihah”. Ni ipi hukumu ya hilo?

Jibu: Hii ni Bid´ah. Badala yake anatakiwa kumtaja Allaah kwa kusema “Laa ilaaha illa Allaah”, “Subhaan Allaah” na mfano wa hayo. Amesema (Ta´ala):

وَاذْكُر رَّبَّكَ إِذَا نَسِيتَ

“Mtaje Mola wako unaposahau.” (18:24)

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 74
  • Imechapishwa: 23/04/2017