Kusogea kuziba upenyo katika safu ya mbele

Swali: Ikiwa mtu yuko katika safu na mbele yake kuna nafasi wazi, na akienda mbele kuiziba atambana yule aliye pembeni yake. Je, analazimika kuiziba?

Jibu: Ikiwa nafasi hiyo inamtosha, basi hakuna tatizo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (25)
  • Imechapishwa: 26/09/2026