Swali: Je, inajuzu kusimulia Hadiyth-ul-Qudsiy kimaana?

Jibu: Hapana. Hadiyth-ul-Qudsiy ni katika maneno ya Allaah, ni mamoja matamshi na maana yake. Ni kama mfano wa Qur-aan. Ni lazima kuisimulia kwa matamshi na maana yake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=4743
  • Imechapishwa: 17/11/2014