Anayehukumu kwa kanuni katika mambo yote

Swali: Ni ipi hukumu kwa mwenye kuhukumu kinyume na Shari´ah katika mambo yote isipokuwa mambo ya ndoa, talaka na mirathi?

Jibu: Tumetangulia kusema kuhusu hili. Tumesema kuwa akihukumu kinyume na Shari´ah katika mambo yote, huyu amebadili Dini. Mwenye kubadili Dini amekufuru. Wanachuoni wengine wakasema ni lazika kwanza kumsimamishia hoja kwa kuwa anaweza kuwa na shubuha na anaweza kuwa ni mjinga.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=4745
  • Imechapishwa: 17/11/2014