19- Abu Bakr an-Naysaabuuriy ametuhadithia: Muhammad bin Sahl bin al-Fudhwayl ametuhadithia: Humayd bin ar-Rabiy´ ametuhadithia: Khaalid bin Makhlad ametuhadithia: ´Abdul-Wahhaab bin ´Atwaa´ ametuhadithia: Muhammad bin Ja´far ametuhadithia, Muhammad bin ´Amr ametuhadithia, kutoka kwa Abu Salamah, kutoka kwa Abu Hurayrah, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambaye amesema:
“Allaah (´Azza wa Jall) anashuka kila usiku katika mbingu ya dunia kwenye nusu ya usiku au theluthi ya mwisho na anasema mpaka alfajiri inaingia: “Ni nani aniombaye nimuitikie? Ni nani aniombae nimpe? Ni nani aniombae maghfirah nimghufurie?”
- Muhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 104
- Imechapishwa: 17/01/2018
19- Abu Bakr an-Naysaabuuriy ametuhadithia: Muhammad bin Sahl bin al-Fudhwayl ametuhadithia: Humayd bin ar-Rabiy´ ametuhadithia: Khaalid bin Makhlad ametuhadithia: ´Abdul-Wahhaab bin ´Atwaa´ ametuhadithia: Muhammad bin Ja´far ametuhadithia, Muhammad bin ´Amr ametuhadithia, kutoka kwa Abu Salamah, kutoka kwa Abu Hurayrah, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambaye amesema:
“Allaah (´Azza wa Jall) anashuka kila usiku katika mbingu ya dunia kwenye nusu ya usiku au theluthi ya mwisho na anasema mpaka alfajiri inaingia: “Ni nani aniombaye nimuitikie? Ni nani aniombae nimpe? Ni nani aniombae maghfirah nimghufurie?”
Muhusika: Imaam ´Aliy bin ´Umar ad-Daaraqutwniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kitaab-un-Nuzuul, uk. 104
Imechapishwa: 17/01/2018
https://firqatunnajia.com/kushuka-kwa-allaah-kupitia-upokezi-wa-abu-hurayrah-7/