Swali: Unasemaje kwa mwenye kusema wenye mamlaka ni wanachuoni tu na sio viongozi?
Jibu: Hakuna yeyote aliyesema hivi. Hakuna aliyesema kuwa wenye mamlaka ni wanachuoni tu. Wamesema wenye mamlaka ni viongozi. Imesemekana vilevile kuwa ni viongozi na wanachuoni. Kuna kauli mbili juu ya hili ambapo ndani ya moja katika hizo kunaingia wanachuoni. Ama kusema kuwa wenye mamlaka ni wanachuoni tu, sijui lolote kuhusiana na hili.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (14) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_14.mp3
- Imechapishwa: 15/06/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)