Swali: Je, inajuzu kusema uongo kwa kukhofia kusibiwa na kijicho?
Jibu: Hapana, haijuzu. Uongo ni haramu. Kuhusu kufikwa na kijicho, amtegemee Allaah na hakuna kitachomdhuru. Akithirishe nyuradi na Dhikr. Hakuna kitachomdhuru kwa idhini ya Allaah. Vilevile aombe kinga kwa Allaah. Hakuna kitachomdhuru.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (71) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-13.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Je, inajuzu kusema uongo kwa kukhofia kusibiwa na kijicho?
Jibu: Hapana, haijuzu. Uongo ni haramu. Kuhusu kufikwa na kijicho, amtegemee Allaah na hakuna kitachomdhuru. Akithirishe nyuradi na Dhikr. Hakuna kitachomdhuru kwa idhini ya Allaah. Vilevile aombe kinga kwa Allaah. Hakuna kitachomdhuru.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (71) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-06-13.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/kusema-uongo-kwa-kuchelea-kupatwa-na-kijicho/