Kusema “Aamiyn” baada ya kusoma al-Faatihah nje ya swalah

Swali: Je, imewekwa katika Shari´ah kusema “Aamiyn” baada ya kumaliza kusoma al-Faatihah nje ya swalah au kusema hivo ni jambo maalum tu ndani ya swalah?

Jibu: Ni sawa kufanya hivo kwa kuwa ni du´aa. al-Faatihah ni du´aa. Kunasemwa “Aamiyn” baada ya du´aa, sawa ikiwa ndani ya swalah au nje yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-14.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020