Swali: Je, nilete Dhikr zilizothibiti baada ya swalah ikiwa nitasahau na nikakumbuka baada ya kupita nususaa?
Jibu: Ndio, maadamu wakati bado upo zilete.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (68) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-05-21.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Mikono hainyanyuliwi baada ya adhaana na baada ya swalah
Swali: Je, kunyanyua mikono baada ya adhaana na kabla ya Iqaamah inahesabika ni jambo lililowekwa katika Shari´ah? Jibu: Hapana. Si jambo lililowekwa katika Shari´ah. Mikono hainyanyuliwi baada ya adhaana wala baada ya swalah. Aombee pasi na kunyanyua mikono.
In "Baada ya swalah"
Kutokufanya Adhkaar baada ya swalah
Swali: Ni ipi hukumu kwa mwenye kuswali lakini haleti Adhkaar na Istighfaar baada yake? Jibu: Huu ni upungufu. Ujira wake unapungua kwa kukosa kuleta Adhkaar zilizowekwa baada ya swalah. Huyu amejinyima mwenyewe. Anatakiwa kuleta Adhkaar baada ya swalah ili ujira wake utimie baada ya hapo.
In "Baada ya swalah"
Hakuna swalah baada ya Fajr na baada ya ´Aswr
Swali: Ni ipi ngazi ya Hadiyth hii: “Hakuna swalah baada ya ´Aswr mpaka lizame jua na wala hakuna swalah baada ya Subh mpaka lichomoze jua isipokuwa Makkah, isipokuwa Makkah, isipokuwa Makkah.” Jibu: Hadiyth hii kwa nyongeza hii “isipokuwa Makkah” ni dhaifu. Kuhusu msingi wa Hadiyth ni yenye kuthibiti katika “as-Swahiyh”…
In "Tahiyyat-ul-Masjid - Swalah ya mamkuzi ya msikiti"